Sifa muhimu za ugonjwa wa akili ni kuvurugukiwa kwa hisia, mawazo au tabia za watu. Jambo ambalo ni nje ya utaratibu uliozoeleka wa imani zao za kitamaduni na nafsi zao. Na upelekea kutokea kwa athari hasi katika maisha yao na familia zao.

Magonjwa ya akili yaliyo kali, yana kawaida ya kuwa sugu kutokea kwa vipindi na sio mfululizo. Na huwa na athari za muda mrefu kuhusu kupungua kwa uwezo wa kutenda mambo.

Dalili za Magonjwa ya Akili ni pamoja na:

  1. Mvurugiko wa namna watu wanavyofikiri- kufasiri mambo kinyume na namna yalivyo, na kwa mtazamo uliobadilika (maono).
  2. Mvurugiko wa namna watu wanavyotambua vitu kwa macho, masikio, kunusa, kuonja na kugusa- wanaona mambo ambayo watu wengine hawayaoni. Kwa mfano; kuona au kusikia mambo yasiyoweza kuonekana au kusikiwa na wengine.
  3. Kuvurugukiwa kwa hisia- mara nyingi kunaambatana na kupoteza uwezo wa kufikiri. Kama vile kuwa na hofu kupita kiasi, kuwa na mawazo hasi na kudhihirisha msongo wa kisaikolojia kwa dalili zinazoonekana kwenye mwili.
  • Watu wenye msongo au mfadhaiko wanaweza kujaribu kukabiliana na dalili walizonazo kwa kutumia mihadarati au pombe.

Magonjwa yanayotokana na matumizi ya mihadarati/pombe yameenea sana katika jamii zetu. Na kwa ujumla yana athari sana kwenye jamii katika uzalishaji, afya na usalama. Pombe inatumika vibaya zaidi katika jamii nyingi za Kitanzania ikifuatiwa na tumbaku na bangi.

Vitu vingine ni pamoja na uvutaji wa vitu vyenye kulevya (petroli, mafuta ya taa, gundi, na kadhalika), miraa na heroini.

Madhara ya kutumia Mihadarati au Pombe vibaya.

  • Visababishi vya magonjwa mbalimbali.

* Magonjwa yasiyo ya yakuambukiza kama vile kisukari na magonjwa ya moyo (pombe).

* Magonjwa sugu ya mapafu na saratani za matumbo (tumbaku).

  • Uharibifu wa viungo vya mwili- pombe inaweza kuharibu ubongo, moyo, ini, na kadhalika.
  • Utapiamlo kutokana na lishe duni.
  • Kupungua kwa uwezo wa uzalishaji kwenye jamii.
  • Kuongezeka kwa migogoro kwenye familia na katika ngazi za jamii.
  • Kuongezeka kwa tabia za kiharifu kwenye jamii, kutokana na:

* Tabia zinazohusiana na kuathiriwa na dutu hizi.

* Umiliki wa dutu haramu.

* Hatua zilizochukulikwa kinyume na sheria katika upatikanaji wa dutu hizo pale wahusika wanapokuwa tegemezi.

  • Utegemezi wa kisaikolojia- wale wanaoathirika wanadhani kuwa hawawezi kutimiza vizuri majukumu yao ya kijamii, mpaka kwanza watumie dutu hizo.
  • Utegemezi wa kimwili- fiziolojia ya mwili inabadilika na kuzoea uwepo wa dutu hizo kwenye mwili, kiasi kwamba pale mtu anapopunguza matumizi yake, dalili bayana za mwili huweza kutokea kuashiria upungufu fulani (hususan kwa pombe na heroini).

MUHIMU: Magonjwa ya akili yanatibika, na mengi yanaweza kudhibitiwa katika ngazi ya zahanati. Kwa ushirikiano wa ziada kutoka kwa mtumishi wa afya ya jamii na wanajamii wenyewe kwa ujumla.

شرط بندی پرسپولیس شرط بندی استقلال شرط بندی روی تراکتورسازی تبریز شرط بندی روی سپاهان شرط بندی رئال مادرید بارسلونا شرط بندی شرط بندی psg سایت شرط بندی جام جهانی شرط بندی جام جهانی 2026 سایت شرط بندی جام جهانی 2026 بازی انفجار رایگان سایت انفجار ضریب بالا بهترین سایت شرط بندی فارسی شرط بندی بدون فیلتر شرط بندی بازی رولت شرط بندی پوکر شرط بندی مونتی شرط بندی سنگ کاغذ قیچی شرط بندی بلک جک کرش رویال بت پاسور شرط شرط بندی تخته نرد آنلاین انفجار 2 بت شرط بندی بازی اسلات شرط بندی بازی پوپ سایت سامان بت ریور پوکر 2024 سایت 4030bet ورود به بازی انفجار دنس بت شرط بندی انفجار دنس آموزش بازی پوکر سایت شرط بندی 123 بهترین شرط بندی بهترین سایت شرط بندی انفجار اپلیکیشن بازی انفجار دانلود بازی انفجار انفجار بازی ربات بازی انفجار کازینو آنلاین ایرانی انفجار پولساز ورود به بازی انفجار بازی انفجار با شارژ 10 تومن سایت bet betyek وان ایکس برو آدرس سایت بت یک سایت دوست دختر اونلی فنز فارسی پیدا کردن دوست دختر ورود به ریور پوکر پدرام مختاری پویان مختاری نازنین همدانی مونتیگو داوود هزینه بیوگرافی آیسان اسلامی بیوگرافی دنیا جهانبخت سایت رسمی حسین تهی بیوگرافی کوروش وانتونز سایت آرتا وانتونز رها وانتونز بیوگرافی ربکا قادری سحر قریشی بیوگرافی تتلو بیوگرافی مهدی طارمی الناز شاکردوست سایت عادل فردوسی پور بیوگرافی نیلی افشار بیوگرافی محمدرضا گلزار سایت armin2afm بیوگرافی شادمهر عقیلی بیوگرافی سردارآزمون بیوگرافی علیرضا بیرانوند بیوگرافی رامین رضاییان وریا غفوری بیوگرافی علی دایی بیوگرافی پوریا پوتک مدگل سایت حصین بیوگرافی صدف طاهریان فرشاد سایلنت بیوگرافی آریا کئوکسر بیوگرافی sogang بیوگرافی میا پلیز بیوگرافی مهراد هیدن سایت رسمی سهراب ام جی بیوگرافی علیرضا جی جی بیوگرافی بهزاد لیتو اشکان فدایی بیوگرافی رضا پیشرو بیوگرافی گلشیفته بیوگرافی هیپ هاپولوژیست بیوگرافی سارن بیوگرافی آدام مرادی بیوگرافی محمد هلاکویی بیوگرافی علی حسنی سایت رسمی علی حسنی بیوگرافی ساسی خواننده بیوگرافی ابی باربد معصومی حسینی فایننس بیوگرافی امیرحسین نام آور بیوگرافی امین فردین بیوگرافی فرزاد وجیهی