Shambulio la Moyo

Elimu Kuhusu Ugonjwa wa Shambulio la Moyo.

Ugonjwa wa Shambulio la Moyo una Dalili zifuatazo:

  1. Kushindwa kupumua vizuri/ipasavyo.
  2. Maumivu makali ya kifua.
  3. Maumivu ya kifua yanaweza kusambaa hadi mgongoni, mkono wa kushoto na taya kwa upande wa kushoto.
  4. Kuhisi kichefuchefu.
  5. Kutokwa jasho jepesi na maumivu ya kichwa.

MUHIMU: Ugonjwa wa Shambulio la Moyo ni Dharula. Ukipata dalili hizo, tafadhali wahi Hospitali haraka.